News


Filamu ya maisha ya Mandela yaandaliwa 




 Nelson Mandela na Mkewe Graca, filamu kuhusu maisha yake inaandaliwa


Mfululizo wa vipindi vifupi vya televisheni kuhusu maisha ya Nelson Mandela viko njiani kutayarishwa huku kati ya waandaaji yuko mjukuu wa Rais huyo wa zamani.
Waandishi walio katika mradi huo ni pamoja na Nigel Williams, aliyeandika vipindi vya Helen Mirren mwaka 2005, Elizabeth I.

Mandela na familia yake atatoa taarifa na mrisho nyuma wa muswada katika sehemu ya sita ya mfululizo huo.
Mjukuu wake Kweku Mandela alisema mwitikio wa babu yake alipoelezwa kuhusu mpango huo ulikuwa: "Nitalipwa kiasi gani?"

Upigaji picha utaanza Afrika Kusini baadaye mwaka huu, Itafuatiwa na maisha yake kama kiongozi wa zamani kuanzia mwanzo,uhusiano wake na mama yake, kujihusisha kwake na siasa, maisha yake jela na hatimaye kuchaguliwa kwake kama Rais wa Afrika Kusini.
Mradi huu umetayarishwa kwa pamoja na kampuni tatu duniani -Left Bank Pictures ya Uingereza, Blue Ice Films ya Canada Out of Africa Entertainment ya Afrika Kusini.


We did it

Nelson mandela

Zuma holds mandela



R.I.P mzee KIPARA. A truly legend in Drama/Bongo movies

  Veteran industry artist in Drama / Film in the country, Fundi Saidi famed stage name Mzee scalp has died early this morning at her home in Kigogo Mbuyuni-Kinondoni in Dar.

Elder bald, who was born in 1922, in the brain region of Tabora, was plagued with problems of the feet lack strength, he was unable to stop himself, along with age and may have contributed to these illnesses and others, the situation was ikimlazimu spend much time in bed, sometimes he failed from the outside until it out of people appear to grow sun or wind wave.

Art bald elders began in 1964 by working on the street and then taken up by Radio Tanzania Dar es Salaam (RTD) National TBC now. At the center, he starred in many games with his big chance to show were those with the kingdom, many are called tyranny. In 1999, he and his fellow artists Zena women Dilip, Rasia Kuka, the late Rajab Offenders 'Mzee thief' and Mama Haambiliki joined the group which was likirusha Kaole his role in the ITV television.

Detail of the funeral and burial will share more later,Holy God rest in eternal peace of the late-Amin.


0 comments:

Post a Comment